Waziri
mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula kwenye jengo
la Utalwala la Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Longido, Onesmo Ole-
Nangole kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro , James Ole
Millya (kulia)kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
Katikati ni Mbunge wa longido, Onesmo Ole Nangole.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki,
Joshua Nassari (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA
(BAVICHA), Patrobas katambi (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma Februari 5, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua
Nassari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
Waziri
wa fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango (Kulia) pamoja na Waziri wa
Elimu,Ufundi,Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako wakiwasili
katika ukumbi wa Bunge kushiriki kikao cha 9 cha Bunge la 11
linaloendelea Mjini Dodoma.
Askari wa Bunge akiweka Siwa katika ukumbi wa Bunge kuashiria kuanza kwa kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu
Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza
kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji wakatiakitoa Taarifa ya
Utendaji wa Soko la Bima Nchini kwa kipindi cha Mwaka unaoishia tarehe
31 Desemba,2014 wakati wa kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea
Mjini Dodoma.
Waziri
wa Elimu,Ufundi,Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako
akiwasilisha Taarifa ya mwaka ya chuo Kikuu Cha Dodoma kwa mwaka wa
Fedha 2013/2014 katika kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiteta
jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Mhe.Dkt Hussein Ali
Mwinyi wakati wa katika kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma.