Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya kazi ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es salaam kwa mmara ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya
kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa
kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es salaam baada ya kufanya kazi katika siku ya mwisho leo
Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano
anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful.
Picha na IKULU
EmoticonEmoticon