Mwenyekiti wa Baraza la Wazee
Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa baraza hilo wa
kumpongeza Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwa ushindi
alioupata katika katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 25.
Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa mkoa huo, Juma Simba na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida ambao
walikuwa wajumbe waalikwa. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG)
Katibu wa Baraza la Wazee Mkoa
wa Dar es Salaam, Mohamed Mtulia akizungumza katika mkutano wa
kumpongeza Dk Magufuli kwa ushindi.
Wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika kikao
EmoticonEmoticon