Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani,
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond
Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi, iliyoandaliwa na Kamati
ya Amani Tanzania, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN)
Dkt. Anny Fernandes, wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani,
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond
Jubilee, jijini Dar es Salaam
Sheikh Alhad Mussa, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ukumbini humo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa
Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa hafla
maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya
Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es
Salaam.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akizungumza wakati wa hafla hiyo, alipokuwa akiomba dua maalumu.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik, akizungumza wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akiagana na baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa
amani wakati akiondoka ukumbini baada ya kuhutubia katika hafla maalumu
ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea
Taifa amani wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee
kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani,
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Kamanda Suleiman Kova, wakati alipokuwa akiwasili kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya
kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es
Salaam jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Libelata Mulamula, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi
wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea
Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wakiwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
Makamu
wa Mwenyekiti wa CCM Taida Bara, Philip Mangula, akiteta jambo na
aliyekuwa mgombea urais wa Chama chaTLP, Maximillian Lymo, wakati
walipokuwa kwenye hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa
na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana.
Sheikh Alhad Mussa, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ukumbini humo.
EmoticonEmoticon