Katibu wa Bunge Dk. Thomas
Kashilila (katikati) akitangaza wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 ambapo kwa mujibu wa Dr. Kashilila
wagombea hao ni kutoka vyama nane vya siasa,Kushoto ni John Joel Naibu
Katibu Mkuu wa Bunge na kulia ni Nenelwa Mwihambi Mkurugenzi wa Shughuli
za Bunge.
Jinsi wabunge watavyokaa kuanzia kesho wakati wa Bunge la 11 litakapoanza
EmoticonEmoticon