Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Jaji Damian Lubuva akitangaza matokeo ya awali ya majimbo matatu kwenye
ukumbi wa mikutano wa DICC jijini Dar es salaam huku akiwa ameongozana
na wakurugenzi wa vitengo na maofisa zwa tume hiyo. Jaji Lubuva
ametangaza majimbo ya Paje Mkoa wa Kusini Unguja, Makunduchi na Jimbo la
Lulindi mkoani Mtwara ambapo.PICHA NA JOHN BUKUKU- DICC TUME YA
UCHAGUZI -DAR ES SALAAM
Jaji Lubuva akiendelea kutangaza
matokeo hayo wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi
Ramadhan Kailima na wa kwanza ni Jaji Mstaafu Hamid Mahmod.
EmoticonEmoticon