Naibu
Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu
Emannuel Kalobelo akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
amewaapisha manaibu katibu wawili wa wizara na Katibu Tawala wa mkoa
katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 26,
2015.Manaibu katibu walioapishwa ni pamoja Ndugu Emmanuel Kalobelo
anayekuwa Naibu Katibu mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia
na ndugu Tixon Nzunda nayekuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi .
Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi .
Naibu Katibu Mkuu mpya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon Nzunda akila kiapo mbele ya Rais Kikwete.
Katibu Tawala mpya wa mkoa wa
Katavi Mhandisi Madeni Kipande akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam leo na kukabidhiwa miongozo ya
kazi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wapili kushoto) wakiwa katika
picha ya pamoja na waliapishwa keo.Kushoto ni Katbu Tawala Mkoa wa
Katavi Ndugu Madeni kipande, wanne kushoto ni Naibu katibu Mkuu mpya wa
Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emmanuel Kalobelo na
kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa
Umma Ndugu Tixon Nzunda.
Picha na Freddy Maro
EmoticonEmoticon