Balozi Mangibin akizaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Balozi Mangibin (kulia). |
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mangibin. |
Picha ya pamoja =========Balozi wa Singapore |
Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Tan Puay Hiang akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula (kushoto) akisalimiana na Balozi Tan Puay Hiang (kulia) |
Mhe. Rais Kikwete akizungumza na Balozi Hiang mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho kama Balozi mpya wa Singapore hapa nchini. Kushoto ni Afisa aliyefuatana na Balozi Hiang. |
Mhe. Rais Kikwete akimkaribisha Balozi Elshawaf. |
Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Elshawaf, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. |
Balozi Elshawaf akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samwel Shelukindo |
Balozi Elshawaf akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Picha ya pamoja |
Mhe. Rais Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na Balozi mpya wa Misri hapa nchini Mhe. Elshawaf |
Mazungumzo yakiendelea. |
Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Vilan, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. |
Balozi Vilan akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Elibariki Maleko. |
Balozi Vilan akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga |
Balozi Vilan akisalimiana na Bw. Batholomeo Jungu, Afisa Mambo ya Nje |
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Vilan |
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Vilan na Balozi Mulamula |
Balozi Elshawaf (katikati) akipokea heshima ya wimbo wa taifa mara baada ya kuwasili Ikulu. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage na kushoto Mnikulu. |
Bendi ya polisi ikipiga wimbo wa taifa wa Misri kwa heshima ya Balozi Elshawaf |
Balozi Elshawaf akisalimiana na Bw. Celestine Kakele, Afisa Mambo ya Nje |
Balozi Elshawaf akisalimiana na Kiongozi wa Bendi ya Polisi
Picha na Reginald Philip
|
EmoticonEmoticon