NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.

October 29, 2015
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo.(Kulia).
Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa.
Wafanyakazi wa NMB Moshi wakimsikiliza afisa habari wa KCMC,Gabriel Chiseo (Hayupo pichani).
Wafanyakazi wa Benki ya NMB matawai ya Moshi wakishusha zawadi tayari kugawa kwa wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela,Emanuel Kashusho akizungumza lengo la kufika katika hosptali hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB,wakiwa wamebeba zawadi tayari kugawa kwa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya rufaa ya KCMC.
Wafanyakazi wa NMB Moshi wakigawa zawadi kwa agonjwa.
Wodi zote katika hosptali hiyo zilifikiwa.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB Moshi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya zoezi la kugawa zawadi kwa wagonjwa kumalizika.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »