Viongozi
wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa
Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi
wa Vyama 22 vya Siasa Tamzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
bwawani Zanzibar.wa kwanza Jaji Lubuva Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya
Siasa Mzirai na Msajili Msaidi wa Vyama vya Siasa Tanzani Mhe Ibrahim
Mkwawa.
Mmoja
wa Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania akiuombea Mkutano huo wa Baraza
la Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Bwawani Zanzibar. ukizungumzia maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania .
Katibu
wa Baraza la Vyama vya Siasa Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi,
akizungumza kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya
Siasa Tanzania Mhe Peter Mzirai kuaza kwa kikao hicho kilichofanyika
katika ukumbi wa hoteli ya Bwawani Zanzibar na kuwashirikisha Viongozi
wa Vyama 22 vya Siasa Tanzania.
Viongozi
wa Vyama vya Siasa wakimsikiliza Mtoa Mada Msaidizi Msaidi wa Vyama vya
Siasa Tanzania Mhe Ibrahim Mkwawa, akiwasilisha mada ya Maadili
iliotiwa saini na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusiana na Uchaguzi Mkuu
wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Msajili
Msaini wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe Ibrahim Mkwawa akiwasilisha Mada
ya Maadili ya Vyama vya Siasa kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar na
kuwashirikisha Viongozi wote wa Vyama vya Siasa vinavyoshiriki Uchaguzi
Mkuu mwezi huu.
Viongozi wa Vyama vya Siasa wakifuatilia Mkutano Huo. katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Viongozi
wa Vyama vya Siasa wakiwa makini wakifuatilia mkutano huo wa Baraza la
Vyama vya Siasa Tanzania ukizungumzia Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa
Tanxzania unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Viongozi wa Chama cha TADEA wakifuatila mkutano huo wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania.
Viongozi
wa Chama cha AFP wakifuatilia mkutano huo kwa makini unaozungumzia
Maadilidi ya Uchaguzi kwa Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika
ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot Zanzinews.com.
Mobeli No 0777 424152 or 0715424152
Email, othmanmaulid@gmail.com.
EmoticonEmoticon