Mkurugenzi
wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha
Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo
kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa
ziara ya mafunzo Mjini Morogoro.
Meneja Uhusiano wa Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw. Mazehiew Folleto (Kulia)
akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea
kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini Morogoro.
Mkurugenzi
wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda cha
Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akiwaongoza
wageni kutoka Bodi ya Tumbaku na Masoko ya Zimbabwe walipotembelea
kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini Morogoro.
Meneja
Mapokezi wa Tumbaku kwenye Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL),
Bw.Nico Zambetakis akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe
walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini Morogoro.