Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzai na Usalama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagwa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iiyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Septemba 01,2015
Kikosi cha makomandoo wa jeshi la ulinzi kikionyesha uhodari na ujasili wa hali ya juu katika mazoezi ya ukakamavu
EmoticonEmoticon