Mwenyekiti
wa Elimu Saccos Ahmedi mohd akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni
Rasmi katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo
Zanzibar.
Mgeni
Rasmi Mrajisi wa vyama vya Ushirika Hamis Daudi Simba akitoa hotuba ya
ufunguzi katika mkutano wa maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo
Zanziobar,kulia yake ni Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmed Mohd na
kushoto yake ni Katibu wa Elimu Saccos Salma Simai.
Baadhi ya Wanachama wa Elimu Saccos waliohudhuria katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.