Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Boma, Mjini
Masasi Mkoani Mtwara, kulikifanyika Mkutano wake wa Kampeni za kuomba
ridhaa ya wananchi kugombea nafasi, uliofanyika leo Septemba 22, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa
Masasi, Mkoani Mtwara, muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Boma, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Septemba 22, 2015.
Uwanja wa Boma mjini Masasi, palikuwa hapatishi pale Mgombea Urais alipowasili uwanjani hapo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mke wa Mwenyekiti wa
Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi (kulia), Mama Modesta Makaidi,
wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma, leo
Septemba 22, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Masasi,
Mkoani Mtwara, waliofikia kusikiliza sera zake katika Mkutano wa hadhara
wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Ambapo amewashukuru wananchi wa Mji wa Masasi kwa mapokezi makubwa
waliyompatia.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akizungumza machache na wananchi wa
Jimbo la Masasi Mjini, Mkoani Mtwara waliofurika kwa wingi kwenye
Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea karatasi ya Shairi kutoka kwa
Msoma Mashairi, Mohamed Ally (kushoto) mara baada ya kughani Shairi
lake.

EmoticonEmoticon