Mkutano wa Hadhara wa Kampeni wa Utamburisho wa wagombea wa Udiwani katika jimbo la Moshi mjini. |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Korongoni ,manispaa ya Moshi,Ally Mwamba akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Korongoni (hawapo pichani). |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Rau ,manispaa ya Moshi,Peter Kimaro akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Rau (hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Ng'ambo ,manispaa ya Moshi,Genesis Kiwelu akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Ng'ambo (hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Miembeni,manispaa ya Moshi,Mbonea Mshana akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Miembeni (hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Msaranga ,manispaa ya Moshi,Anna Mushi akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Msaranga.(hawapo pichani). |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Bomambuzi ,manispaa ya Moshi,Ludos Tarimo akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Bomambuzi(hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Majengo,manispaa ya Moshi,Peter Minja akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Majengo (hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Kaloleni ,manispaa ya Moshi,Francis Shio akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Kaloleni (hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Kiusa ,manispaa ya Moshi,Stephen Ngasa akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Kiusa . |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Mawenzi ,manispaa ya Moshi,Hawa Mushi akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Mawenzi (hawapo pichani) |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Mji Mpya ,manispaa ya Moshi,Abuu Shayo akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Mji Mpya . |
Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Soweto ,manispaa ya Moshi,Collins Tamimu akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Soweto. |
EmoticonEmoticon