TASWIRA YA SOKO LA DEEPSEA JIJINI TANGA LEO ASUBUHI OSCAR ASSENGA August 21, 2015 OSCAR ASSENGA Wakazi wa Tanga wakinunua samaki soko la Deep Sea bandari ya Tanga jana. Wachuuzi hao wamekuwa wakilalamika kukosa vyumba vya kuuzia samaki wao na kuwa kero wakati wa mvua na jua,Picha kwa Hisani ya Tangakumekuchablog. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon