Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)
akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Jiji cha
Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa
Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi alivyoozeshwa kwa mwanaume
mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng’ombe Mmoja na debe
2 za pombe kushoto ni Mwenyekiti wa Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya
Monduli Mtandao wa Wasaidizi wa Kisheria Monduli (MWAWAKIMO) Ibrahim
MelitaL aizer.
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mtoto Ester Meliyo Lukumay
Chanzo FullshangweBlog
EmoticonEmoticon