Waziri
Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari
wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), leo mchana.
Waziri
Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam
leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni
Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani,
Edward Lowassa.
Sumaye akisisitiza jambo
Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba (UKAWA) baada ya kuondoka CCM na kujiunga na Chadema.
EmoticonEmoticon