Mkufunzi mwandamizi toka kampuni
ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja
ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji
za kisasa za LG. Tukio hilo lilifanyika katika banda la LG ndani ya
viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba,
wa pili kushoto ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah ,Yasin Lodhi .
Bw. Festo Sakaya akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kupokea zawadi ya Microwave ya kisasa
toka LG ambayo aliipata baada ya kufanya manunuzi ya friji la kisasa
ndani ya banda la LG wakati wa maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa
maarufu kama Sabasaba.
Meneja wa tawi la LG Mtaa wa
Nkurumah, Yasin Lodhi, (kulia) akikabidhi zawadi ya Microwave kwa Bi.
Hidaya Kapera, (kushoto) mara baada ya mteja huyo kufanya manunuzi ya
bidhaa za kisasa ndani ya banda la LG katika maonyesho ya 39 ya
kimataifa ya biashara maarufu kama Sabasaba.
Hidaya Kapera, akiondoka na zawadi
yake ya Microwave baada ya kufanya manunuzi ya bidhaa za kisasa ndani
ya banda la LG katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara maarufu
kama Sabasaba.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni
ya LG wakimpongeza Bw. Festo Sakaya kushoto baada ya kushinda zawadi ya
Microwave katika promosheni iliyoendeshwa na kampuni hiyo katika
maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara maarufu kama Sabasaba.