Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas
Bisheko (katikati ) akiwa Azam tv Pamoja na Watangazaji wa Kipindi
cha alasiri ndugu Andrian (kushoto) pamoja na wasiwasi Mwabulambo
kwenye ziara kubwa ya Meneja kwenye Vyombo Mbalimbali vya Habari
Kutoa Elimu kwa Jamii juu ya Mambo mbalimali ya Kiuchumi ikiwemo Tatizo
la Ajira ,Namna ya Kujiajiri na Nidhamu utawala wa Rasilimali fedha.
Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko akiwa ndani ya studio za Clouds katika muendelezo wa Ziara yake hapa akiea na Mtangazaji Perfect Crispin.
Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko akiwa studio za Magic FM
Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko Akiwa
ndani ya Studio za Mlimani tv Akielezea namna ambavyo AccessBank
inatumia techinolojia kusogeza karibu huduma zake kwa wateja.Hivi
karibuni AccessBank ilizindua huduma yake ijulikanayo kama RAHISII
Inayowezeshwa na AccessMobile,Huduna inayowezesha Wateja kupata Huduma
za Kibenki bure bila Kikomo Kupitia Simu zao za Kiganjani.Kama vile
kupata Akaunt bure bila Makato.Kuweka Fedha na Kutoa Bure Katika tawi la
AccessBank.Kuhamisha Fedha bure Kwenye Akaunti.M-Pesa,Tigo Pesa,Airtel
Money.Kulipia bili Burekwenda Luku,Dstv Dawasco,na Nyinginezo.Kununua
Muda wa Maongezi Bure Kutoka Vodacom,Tigo ,Airtel na Zantel