Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
akizungumza na wasanii wa tasnia ya filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati
alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania
urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM), ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini.
Picha zote na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa tasnia ya filamu mkoa wa
Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya kutafuta
wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini.
EmoticonEmoticon