Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akifungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo Juni 24, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata
maelezo kutoma kwa Profesa Nerey Mvungi wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam
juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa kidigitali wa kusaidia
kupambana na ajali barabarani kabla hajafungua Kongamano la Nne la
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipata maelezo kutoma kwa kijana Godfrey Magila wa Magilatech Company
Ltd. juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa teknolojia ya
mawasiliano rahisi kabla hajafungua Kongamano la Nne la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon