Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo
aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na baadhi ya watoto wenye
albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati
wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism Duniani.
picha na Freddy Maro
EmoticonEmoticon