Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (watatu kulia) akiwa na ujumbe
wake wakiapata maelezo kutoka kwa Adam Nowak M.A.Afisa anaehusika na
ufundi wakati walipotembelea katika Kampuni ya Magari ya Mercedes-Benz
na kuangalia magari hayo yaliyotayari kwa kuingia sokoni Mjini Wurzburg
nchini Ujerumani,
[Picha zote na Ramadhan Othman,]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mama
Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wake wakiangalia magari
ya aina mbali mbali baada ya kupata maelezo kutoka kwa Adam Nowak
M.A.Afisa anehusika na Ufundi wakati walipotembelea katika Kampuni ya
Magari ya Mercedes-Benz na kuangalia magari hayo yaliyotayari kwa
kuingia sokoni Mjini Wurzburg nchini Ujerumani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mama Mwanamwema
Shein (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara
ya kikazi Nchini Ujerumani wakiwa na ujumbe wake wakiangalia mashine ya
gari aina ya Mercedes -Benz na kupata maelezo kutoka kwa afisa
anaehusika na ufundi Adam Nowak M.A katika kampuni hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Adam Nowak M.A.
Afisa anaehusika na ufundi wakati alipotembelea katika Kampuni ya
Magari ya Mercedes-Benz akiwa na ujumbe aliofuatana nao katika ziara ya
kikazi nchini Ujerumani katika Mji wa Wurzburg ambaapo yapo tayari kwa
mauzo.