Makamu
wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika Msikiti wa Kinondoni
kwa ajili ya ibada kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh
Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya waislaam wakiwa katika msikiti wa kinondoni katika ibada ya kuswalia
mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba
iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban
Issa Bin Simba wakiwa katika majonzi katika ofisi ya Makao Makuu ya
Bakwata,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Kiongozi
wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akimpa pole Mbunge wa
Ilala Mussa Azzan Zungu kufuatia na msiba aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh
Shaaban Issa Bin Simba katika msikiti wa Kinondoni jijini Dar es Salaam
leo.
Makamu
wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Mwenyekiti wa
Makampuni ya IPP,Reginad Mengi katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj
Sheikh Shaaban Issa Bin Simba katika msikiti wa Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilali akizungumza na waandishi na waamdishi
wa habari katika katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban
Issa Bin Simba leo katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam.
Sheikh
Hemed Jalala a akizungumza na waandishi na waamdishi wa habari katika
katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo
katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisaini kitabu cha wageni katika
katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo
katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo na Mwanasiasa
Mkongwe,Kingunge Ngombare Mwiru katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj
Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar
es Salaam. PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.
EmoticonEmoticon