Katibu
Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa
hadhara wa kuhitimisha ziara ya miezi 26 katika mikoa 31 nchini, ya
kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa
Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za wananchi na
kuzitafutia ufumbuzi.

Mkutano
huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jana jioni. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, tayari wamesafiri umbali wa Km
193,537, kwa kufika katika Wilaya 163, majimbo 239, nusu ya vijiji na
kata 1938 za Tanzania. Pia msafara wake ulitumia jumla ya saa 84
kuzunguka mikoa yote hiyo, na kusafiri kwa mitumbwi katika visiwa 16.
Amehutubia jumla ya mikutano ya ndani/hadhara 1918 na kujikusanyia
wanachama wapya 284300 ambapo kutoka upinzani 38984.

Aliyekuwa
mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chadema, katika uchaguzi mkuu uliopita,
Twalib Ngika, akikabidhi Kadi ya Chadema kwa Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa
hadhara wa Katibu Mkuu huyo uliofanyika viwanja vya Furahisha jijini
Mwanza jana.

wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika mkutano wa
hadhara kwenye Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza jana jioni, ambapo amewataka
viongozi wa chama na Serikali kutoka maofisini kwenda kwa wananchi
kuzitafutia ufumbuzi kero zao.

Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo mbele ya wakazi
wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,alipokuwa akiwahutubia katika
mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya miezi 26 katika mikoa 31
nchini, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusimamia
Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za
wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiagana na wananchi mara baada ya kumaliza
kuwahutubia kwenye Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza jioni ya leo,Kinana
aliwahutubia wananchi na kuahidi kuwa bunge lijalo kwa upande wa CCM,
litakuwa na mabadiliko makubwa kwa kuwapa nguvu wabunge kuihoji serikali
kuhusu utendaji wake.

Ndugu
Kinana akiwapungia mkono wananchi alipokuwa wakiwasili kwenye Uwanja wa
Furahisha jijini Mwanza, ambapo aliwahutubia wananchi na kuahidi kuwa
bunge lijalo kwa upande wa CCM, litakuwa na mabadiliko makubwa kwa
kuwapa nguvu wabunge kuihoji serikali kuhusu utendaji wake.

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CCM kwenye Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza jana.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi,
alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya leo kwenye
Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwahamasisha maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo katika Vianja vya Furahisha Jijini Mwanza.
“‘SAFI SANA”Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aonyesha dole gumba ambayo ni ishara ya CCM na kuonyesha kuwa mambo safi, alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Mashabiki
wakimg’amg’ania Khadija Kopa wakati akiimba wimbo maalum mbele ya
mashabiki hao wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM
uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana
Maelfu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana
Maelfu wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja hivyo jana
Aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi y Chadema, katika uchaguzi mkuu
uliopita, Twalib Ngika, akikabidhi yadi ya Chadema kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinna baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa
hadhara wa Katibu Mkuu huyo uliofanyika viwanja
vya Furahisha jijini Mwanza jana
Kinana akisindikizwa na maelfu ya wananchi alipokuwa akiingia kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo. Pmoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo n Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo
Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, akihutubia mkutano huo
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mlongo akihutubia kwenye mkutano huo
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akihutubia kwenye mkutano huo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihitimisha kwa hotuba katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini wanza leo. PIcha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwahamasisha maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo katika Vianja vya Furahisha Jijini Mwanza.
“‘SAFI SANA”Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aonyesha dole gumba ambayo ni ishara ya CCM na kuonyesha kuwa mambo safi, alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
![]() |
| Malikia wa taarab, Khadija Kopa akiongoza kuimba wimbo maalum wa CCM, wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrhmn Kinana uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Furahiha jijini Mwanza |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana
Maelfu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana
Maelfu wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja hivyo jana
Aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi y Chadema, katika uchaguzi mkuu
uliopita, Twalib Ngika, akikabidhi yadi ya Chadema kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinna baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa
hadhara wa Katibu Mkuu huyo uliofanyika viwanja
vya Furahisha jijini Mwanza jana
Kinana akisindikizwa na maelfu ya wananchi alipokuwa akiingia kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo. Pmoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo n Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo
Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, akihutubia mkutano huo
![]() |
| Mmoja wa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo, akiwa na mtoto wake aliyeshika kipeperushi cha CCM |
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akihutubia kwenye mkutano huo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihitimisha kwa hotuba katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini wanza leo. PIcha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

EmoticonEmoticon