Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa
Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi,
[Picha zote na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Rais wa
Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipokuwa akisalimiana na Mawaziri wa
Zanzibar mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume
akiwa nchini kwa ziara ya kikazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitambulishwa na Rais wa
Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi aliposalimiana na Mawaziri mbali mbali
wa Serikali ya Msumbiji walioungana na Rais Filipe mara baada ya
mapokezi walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume
kwa ziara ya kikazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Rais wa Msumbiji
Mhe,Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya mapokezi akiwa na ujumbe wake
walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini
kwa ziara ya kikazi,
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe
Jacinto Nyusi akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la JWTZ akiwa
naMwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani
Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi,
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe
Jacinto Nyusi akiangalia ngoma ya kibati akiwa naMwenyeji wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini
kwa ziara ya kikazi.
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe
Jacinto Nyusi akikagua Gwaride la JWTZ mara baada ya kupokea salamu ya
Heshma alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa
nchini kwa ziara ya kikazi wakati wa mapokezi yake ambapo Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Viongozi mbali mbali walifika uwanjani hapo kwa mapokezi maalum,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa
Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar katika
ziara ya kikazi nchini akiwa na ujumbe wake,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Rais
wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi baada ya mazungumzo yao alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar katika ziara ya kikazi nchini akiwa na ujumbe wake,
EmoticonEmoticon