Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa
habari leo tarehe 23 Mei 2015 kuelezea juu zoezi la uandikishiaji wa
Wananchi kwenye daftari la kudumu la Mpigakura litakaloanza rasmi kesho
tarehe 24 Mei 2015 Mkoani Rukwa. Kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa
Rukwa Ndugu Smythies Pangisa.
Mkutano na waandishi wa habari ukiwa unaendelea. Kwa taarifa kamili SOMA HAPA CHINI:-
(Na Hamza Temba – Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa@Rukwareview.blogspot.com)
EmoticonEmoticon