Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa wilaya ya
Kinondoni kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la
Tegeta wilayani Kinondoni kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
Paul Makonda pamoja na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda
akiwaagiza kutafuta mbinu za kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozingira
makazi ya watu eneo la Tegeta

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia makazi holela yaliyojengwa katika
bonde la mkwajuni eneo la mto Msimbazi na kisha kuongea na wakazi wa
eneo hilo akiwashauri kuhama kwakuwa eneo hilo si salama kwa maisha na
mali zao(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon