Kaimu Katibu Mkuu – Utumishi
Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama) akifungua mkutano maalum wa Baraza la
Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika
ukumbi wa hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. Kulia kwake ni Katibu wa
Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Lilian Denis.
Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (aliyesimama)
akichangia mada katika mkutano maalumu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi
ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B
Delmonte mapema leo.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi
la Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada katika mkutano maalum wa
Baraza la Wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Delmonte mapema leo.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi
la Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada katika mkutano maalum wa
Baraza la Wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Delmonte mapema leo.
EmoticonEmoticon