Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Membe akimkaribisha Rais Mstaafu
wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28,
2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya
maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinton Development
Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).
EmoticonEmoticon