Familia
aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine
wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake
monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka
Wake
wa aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward
Moringe Sokoine , wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la
mume wao nyumbani kwake eneo la monduli Juu wilayani monduli mkoani Arusha
wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12
kila mwaka.
Watoto
wa kiume wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine,
Kutoka kushoto: Joseph Sokoine,Tumaini
Sokoine na Ibrahimu Sokoine wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao
nyumbani kwake eneo la Monduli Juu Wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa
maadhimisho ya siku ya kifo chake jana.
Watoto
wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine,
Kutoka kushoto: Maria Sokoine,Joyce
Sokoine ,Mbunge wa Viti Maalum Namelock Sokoine na Seki Sokoine wakiweka shada
la maua kwenye kaburi la baba yao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu Wilayani Monduli
mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake jana.
Mbunge wa Viti Maalum, Namelock Sokoine akiwa na kaka yake ibrahim Sokoine katika kumbukumbu ya kifo cha baba yao aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mbunge
wa Viti Maalum na Mtoto wa aliye kuwa waziri mkuu wa zamani
hayati Edward Moringe Sokoine, Namilock Sokoine akiongea na baadhi ya wazee wa
kimaasai baada ya misa maalumu ya maadhimisho ya kifo cha Sokoine amabayo
yalifanyika nyumbani kwa marehemu eneo
la Monduli juu wilayani Monduli mkoani Arusha jana.
Mbunge wa viti maalu, Namelock Sokine akizungumza na wadau
EmoticonEmoticon