Meneja
Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy
(katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es
Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji kutoka mfumo wa
utangazaji wa Televisheni kwa mfumo wa Analojia kwenda Dijitali ambapo
asilimia 100 ya nchi sasa imekuwa Dijitali. Kulia ni Ofisa Mawasiliano
Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Ofisa wa Masafa, Christopher Asenga.
Ofisa wa Masafa wa TCRA, Christopher Asenga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mkutano ukiendelea.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
EmoticonEmoticon