Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha
ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji
wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la
IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia ni
Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini Dar
es Salaam.
Mwakilishi
wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na waandishi
wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi ya pombe na athari
katika vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.
Kiongozi
Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya
Kinondoni, Dk. Severine Kessy (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi
wa habari namna utafiti ulivyoendeshwa. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo. Utafiti huo uliendeshwa na Chama
cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT.
Kiongozi
Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya
Kinondoni, Dk. Severine Kessy akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari
namna utafiti ulivyoendeshwa. Utafiti huo uliendeshwa na Chama cha
Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT.
Baadhi
ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo
wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo.
Baadhi
ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo
wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo.
EmoticonEmoticon