Rais
Robert Mugabe wa Zimbabwe akihutubia katika ufunguzi wa Kongamano la
Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika leo kwenye
hotel ya Ngurdoto ,Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akipokea tuzo ya
Heshima ya kuhamasisha amani na utulivu barani Afrika kutoka kwa Rais
wa Umoja wa Vijana wa Afrika uliochini ya Umoja wa Afrika (AU) Francine
Furaha Muyumba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wajumbe wa waliohudhuria
Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika
Ngurdoto,Arusha.
Rais wa Umoja wa Vijana wa Afrika ulio chini ya Umoja wa Afrika Francine Furaha Muyumba akihutubia katika kongamano hilo.
Rais Jakaya Kikwete (kulia),Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana (katikati) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Mazingira)Stepehen Masele wakisikiliza hotuba ya Rais wa Umoja wa
Vijana wa Afrika ulio chini ya Umoja wa Afrika Francine Furaha Muyumba
Bendi ya Polisi ya Moshi (brass band) ikitumbuiza wakati wa Kongamano
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akifuatilia kwa makini hotuba za viongozi mbali mbali wakati wa Kongamano.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa
Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu
ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.Wang Jiarui akiingia ukumbini akiongozana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)Stepehen Masele
Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu
ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.Wang Jiarui akiingia ukumbini akiongozana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)Stepehen Masele
Baadhi ya wajumbe kutoka China
Baadhi ya wajumbe wa kongamano
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akihutubia katika
Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika
Ngurdoto,Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.Wang Jiaruiakihutubia wakati wa Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika Ngurdoto,Arusha.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu abdulrahman Kinana (kulia) Waziri wa Maliasili
na Utalii Lazaro Nyalandu(katikati) na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya ukumbi wa mkutano wa
Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika
Ngurdoto Arusha.













EmoticonEmoticon