washindi wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015.

March 30, 2015

1
Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman
Mwansoko akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa pili  kwa
Nahodha wa Timu ya IPP Media baada ya kuwa washindi wa pili
kwa mpira wa miguu wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015.
Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick
Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na
Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
2
Mgeni rasmi katika mashinado
 hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa
 Nahodha wa Timu ya Habari Zanzibar baada ya kuibuka mabingwa
 wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa
kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa
Wateja Bi Eunice Chiume.
3
Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman
 akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya NSSF ya
 Mpira wa Pete Bi Nora Mwidunda baada ya kuwa washindi wa
 pili wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa
 kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa
 Wateja Bi Eunice Chiume.
4
Mgeni rasmi katika mashinado
 hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa
 Nahodha wa Timu ya Uhuru Queens ya Mpira wa Pete baada ya
 kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015.
Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick
Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na
 Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »