Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael
Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana
na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na
Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael
Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana
na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na
Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa
Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael
Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana
na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na
Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa
Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda na kulia ni
Mkurugenzi wa Rasilami watu na Utawalawa wa NHIF, Beatus Chijumba.
Baadhi ya maofisa wa NHIF walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini.