Mh.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dr. Harrison Mwakyembe akihutubia wajumbe wa Mkutano wa 8 wa
Mawaziri wa Fedha,Uchumi na Mipango unaofanyika Mjini Addis Ababa
–Ethiopia.
Naibu Katibu Mkuu –Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Nd. Armantius C.Msole (kushoto) pamoja
na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr.Hamisi Mwinyimvua wakifuatilia
hotuba ya Mh.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr.Harrison
Mwakyembe (Hayupo pichani) katika Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa
Fedha,Uchumi na Mipango wa Afrika unaofanyika Mjini Addis ababa –
Ethiopia.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Dr.Hamisi Mwinyimvua akipata maelezo kuhusu utaratibu wa Mkutano kutoka
kwa kamishina msaidizi wa Fedha za nje Bi.Judica Omari baada ya ufunguzi
wa Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi na Mipango unaoendelea
Mjini Addis Ababa – Ethiopia. Katikati ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa
ya Takwimu Dr.Albina Chuwa.
EmoticonEmoticon