Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Uchumi na Biashara ya Madini,
Aloyce Tesha (Kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Nishati na
Madini (Madini), Charles Kitwanga (Kushoto) kuhusu utendaji kazi katika
sekta hiyo. Naibu Waziri Kitwanga aliwatembelea Watumishi wa Idara ya
Madini kuzungumza nao na kukagua utendaji kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (wa kwanza
Kulia), akifafanua jambo kwa Viongozi wa Idara ya Madini alipokutana nao
kujadili utendaji kazi katika sekta hiyo. Naibu Waziri Kitwanga
aliwatembelea Watumishi wa Idara ya Madini kuzungumza nao na kukagua
utendaji kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (Katikati)
akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Madini alipowatembelea
kujionea utendaji kazi katika Idara hiyo.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini) (wa tatu kutoka Kushoto),
akimsikiliza Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Kuendeleza Uchimbaji
Madini mdogo, Julius Sarota (wa pili kutoka Kushoto), akitoa maelezo
kuhusu utendaji kazi wa sekta hiyo pamoja na kuwatambulisha baadhi ya
watumishi wa sekta husika. Naibu Waziri Kitwanga aliwatembelea Watumishi
wa Idara ya Madini kuzungumza nao na kukagua utendaji kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini) (wa pili kutoka Kushoto) akimweleza
jambo Kamishna Msaidizi wa Madini anayesimamia Uratibu kazi za Madini,
John Shija (wa kwanza Kushoto), alipomtembelea Ofisini kwake hivi
karibuni kukagua utendaji kazi wa Sehemu hiyo na Idara husika. Wengine
pichani ni Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Kuendeleza Uchimbaji
Madini mdogo, Julius Sarota (Kulia) na Kamishna Msaidizi wa Madini,
Sehemu ya Baruti, Mhandisi Oforo Ngowi (wa pili kutoka Kulia).
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga akitia saini
Kitabu cha Wageni cha Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),
alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam
kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao. Anayeshuhudia
ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Mhandisi Edwin Ngonyani.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi
Edwin Ngonyani (aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa
Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles
Kitwanga (wa kwanza Kulia). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao
Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea
utendaji kazi wao.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi
Edwin Ngonyani (aliyesimama), akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa
Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles
Kitwanga (katikati). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya
STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji
kazi wao.
Wafanyakazi
wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), wakimsikiliza Naibu Waziri wa
Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani),
aliyewatembelea hivi karibuni kuzungumza nao na kujionea utendaji kazi
wao.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi
Edwin Ngonyani (aliyesimama), akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa
Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles
Kitwanga (katikati). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya
STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji
kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), (Katikati) akisisitiza jambo kwa
wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), alipowatembelea
hivi karibuni kuzungumza nao na kujionea utendaji kazi wao.
Ofisa
Uhusiano wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Issa Mtuwa
(aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Shirika hilo kwa Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani).
Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni
kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja
wa watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Justin Henry
Kasanga (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Shirika hilo
kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo
pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi
karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja
wa watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mohamed Omari
Kaunya (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Shirika hilo kwa
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo
pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi
karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Mashariki, Getty Masawe (wa pili
kutoka Kulia), akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini
(Madini), (wa pili kutoka Kushoto). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea
Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji
kazi wao.
Mhandisi
Migodi wa Ofisi ya Madini, Kanda ya Mashariki, Joseph Ng’itu
(katikati), akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini
(Madini), Charles Kitwanga (wa kwanza Kushoto). Naibu Waziri Kitwanga
alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na
kujionea utendaji kazi wao.
Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Mashariki, Getty Masawe (wa pili
kutoka Kulia), akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini
(Madini), (wa pili kutoka Kushoto). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea
Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji
kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga, akisaini Kitabu
cha Wageni alipofika katika Ofisi za Madini, Kanda ya Mashariki. Naibu
Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na
wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga akisaini Kitabu
cha Wageni katika Ofisi za Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA).
Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na
wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao. Anayeshuhudia ni Kaimu Afisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Elikana Petro.
Wafanyakazi
wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), wakimsikiliza Naibu Waziri
wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani)
aliyetembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na
kujionea utendaji kazi wao.
Kamishna
Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Kuendeleza Uchimbaji Madini Mdogo, Julius
Sarota (aliyesimama) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati). Naibu
Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na
wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Wafanyakazi
wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), wakimsikiliza Naibu Waziri
wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani)
aliyetembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na
kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja
wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Omar Sige
(aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji utendaji kazi wa Wakala
huo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga
(hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi
karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (Kushoto),
akijibu swali la mmoja wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania
(TMAA), Omar Sige (aliyesimama). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi
hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi
wao.
Mmoja
wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Michael Kambi
(aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji utendaji kazi wa Wakala
huo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga
(hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi
karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja
wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Mvumilwa Mwarabu