Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dr.Asha Mahita
akigawa zawadi ya sabuni katika wodi ya wakina mama wajawazito katika hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo jana ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya siku ya utepe mweupe ambapo wenye lengo la kupunguza vifo vya wakina mama wajawazito ambapo zaidi ya sabuni 150 ziligawiwa, |
EmoticonEmoticon