KATIBU wa Baraza la Wanawake Chadema
Mkoa wa Tanga (Bawacha), Recho Sadick kushoto akimkabidhi zawadimbalimbali mlezi wa kituo cha kulea watoto cha Casa Familia Lossetakilichopo Kata ya Central eneo la Raskazone jijini Tanga ikiwa ni sikuya wanawake dunia jana |