DR SHEIN AFUNGUA GLOBAL HOSPITAL VUGA MJINI UNGUJA.

March 29, 2015

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky wakati alipofika kufungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] z3  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kushoto ni Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital (kulia)  Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky,  [Picha na Ikulu.]
z4 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo alipotembelea mashine ya Xray baada ya kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (wa kwanza kulia) Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital,[Picha na Ikulu.] z5 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital Dkt,K.Ravindranath(wa pili kulia) na  Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky wakiangalia mashine ya kufanyia Upasuaji wakati alipotembelea  Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital Dkt,K.Ravindranath (kulia) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za kutoa huduma katika  Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi, [Picha na Ikulu.] z7 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Mwakilishi wa Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt.Nagesh Rao (kulia) wakati alipotembelea katika vyumba vya upasuaji vyenye mashine za kisasa baada ya kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (katikati) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky,[Picha na Ikulu.]
z8 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital ya India  Dkt,K.Ravindranath (katikati) wakati alipotembelea chumba cha wagonjwa mahututi (Theatre) baada ya kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kulia) Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Jamala A.Taibu,[Picha na Ikulu.] z9 
Baadhi ya Madaktar na waalikwa katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hospitali hiyo leo, [Picha na Ikulu.] z10Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky akitoa salamu zake mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  baada kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] z11 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali,[Picha na Ikulu.]
z12 
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na taasisi mbali mbali na waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali,[Picha na Ikulu.]

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »