Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi Mpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al
Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najem baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,
[Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon