Mwenyekiti
wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na
Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya
Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Oscar Kikoyo na
kulia ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna
Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatan.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi
Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Oscar Kikoyo akizungumza wakati wa
uzinduzi huo.
Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano akizungumza.
wanafunzi wakifuatilia hotuba za uzinduzi kutoka kwa viongozi.
Mgeni rasmi pamoja na meza Kuu ikipiga picha na Vilabu mbalimbali kutoka shule za sekondari na msingi.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi
Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Oscar Kikoyo (kulia) akizungumza na
wanafunzi wa shule ya msingi Oysterbay, Dar es Salaam jana baada ya
uzinduzi wa klabu za wanafunzi watumiaji wa huduma za usafiri mkoa wa
Dar es salaam jana. Wengine ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano na Mwenyekiti
wa Baraza hilo Ayoob Omary. Picha na Sori: mrokim.blogspot.com