Wiki
nzima hii toka Rais ateue Wakuu wapya wa Wilaya Wapinzani wamekuwa
kwenye kazi kubwa sana ya kumchafua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mufindi
pichani ambaye pia ni Makamu wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mh. Mboni
Mhita na wamekuwa wakitumia picha za chini kujaribu kuonyesha kwamba
hizi picha ni za Mboni Mhita ukweli huu hapa kwamba ni watu wawili
tofauti na infact Mheshimiwa Mboni aliwahi kupiga picha na huyo mtu hapo
chini wanayemtumia picha zake kama Mboni ambaye ni mke wa mtu tayari
tofauti na huyu dada kwenye picha aliyevaa kofia ya CCM. Wapinzani
wameishangaza sana Dunia na hizi mbinu chafu za kutaka kumachafua Rais
wa Jamhuri kwamba kila Mwanamke anayemteua uongozi wa juu ni hawara yake
ni uongo na uzushi wa kitoto sana ukweli ni kwamba ni wao Viongozi wa
upinzani ndio wanao ongoza kwa kuwatia mimba wabunge wao wa viti maalum
na hata kuwaingiza bungeni vimada vyao, wananchi ni muhimu sana
tukawaangalia Wapinzani kwa macho yetu yote mawili nini nia na madhumuni
hasa kuwachafua kina mama wanaopewa uongozi wa juu na hasa kumchafua
Rais bila sababu!! - Le Mutuz |
EmoticonEmoticon