Wakazi wa Chake Chake Wilaya ya Kusini Pemba akipita katika jalala
lililosambaa takataka kilipo kituo kikuu cha daladala yaendayo Wilayani na
katikati ya mji huku baadhi ya wenye maduka na wafanyabiashara ya vinywaji na
vitafunwa wakilalamika kwa kuongezeka kwa harufu kali eneo hilo.
EmoticonEmoticon