Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi (kulia) na Mary
Chatanda kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 18, 2014.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Mary Nagu akiwasilisha Muswada wa
Marekebisho ya Sheria ya Ubia Baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi
wa mwaka 2014, bungeni mjini Dodoma Novemba 18, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon