Baadhi
ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota
Spacio, lenye namba za usajili, T111 BHW likiwa limepinduka chini juu
mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma ,jirani kabisa na kipita shoto
cha mnara wa saa ,Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu
kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya
kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka.hakuna aliepoteza maisha
kwenye tukio hilo la ajali.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini VIA Michuzi Blog
EmoticonEmoticon