Baadhi
ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi
wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent
Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es
Salaam leo.
Baadhi
ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi
wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent
Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es
Salaam leo.
Matinyi akisoma wasifu wa marehemu.
Mwakilishi
wa klabu ya Yanga, Said Motisha akitoa salama za rambirambi kwa niaba
ya klabu yake ambapo alitoa ubani wa sh. laki tano.
Motisha akikabidhi ubani wa sh. laki tano.
Mmoja wa watu waliosoma na marehemu Munyuku akitia salama za rambirambi ambapo walitoa sh. laki tatu.
Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Mhando akitoa salama za rambirambi.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda akitoa salam za rambirambi.
Mwakilishi wa familia, Mkuchika akitoa neno la shukrani.
Rashid Kejo akitoa salama za rambirambi.
Mwakilishi wa Uhuru Publishers akitoa salama za rambirambi na ubani wa sh. laki mbili.
Waombolezaji wakielekea katika gari kwa ajili ya safari ya Morogoro kwa mazishi ya marehemu Inocent Munyuku.
Mwili wa marehemu Munyuku ukiingizwa katika gari tayari kwa safari ya kwenda mkoani Morogoro kwa mazishi.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd wakiwa katika
hospitali ya Lugalo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Inocent Munyuku.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakiwa katika hospitali ya Lugalo wakati wa
kuaga mwili wa Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd,
marehemu Inocent Munyuku.
Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Alfred Lucas (kushoto) na Limonga Justine Limonga wa Radio Uhuru.
Waombolezaji.
Msanifu
Mkuu wa Kurasa wa gazeti la Tanzania Daima, Emily Maya akimpa pole
Mhariri Mtendaji Mkuu wa New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda.
Mkurugenzi wa Global Publisher, Eric Shigongo akiteta jambo na Mhariri Mtendaji Mkuu wa New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Hoja, Iche Mang'enya akitoa heshima za mwisho.
Mhariri
Mtendaji Mkuu wa New habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda akitoa heshima za
mwisho. Kushoto Mwandishi wa habari wa gazeti la Hoja, Iche Mang'enya
akitoa heshima za mwisho.
EmoticonEmoticon