Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akiwa ameambatana na wataalamu mbalimbali katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu.
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akiwa ameambatana na wataalamu mbalimbali katika moja ya matanki ya maji wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Kahama - Ushetu.
Meneja Mradi kutoka RUWASA, John Msengi akieleza kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji Kahama–Ushetu.
Muonekano wa sehemu ya mabomba katika mradi wa maji Kahama–Ushetu
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza wakati wa ziara katika Mradi wa Maji Kahama - Ushetu.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 Blog
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mhandisi Wolta Kirita, amewataka Mameneja wa RUWASA ngazi ya mikoa na wilaya kuhakikisha utekelezaji wa miradi ya maji unaenda sambamba na upatikanaji wa huduma, akisisitiza falsafa ya “kutembea na maji” kuwa kipaumbele katika utekelezaji wa miradi hiyo.
Mhandisi Kirita ametoa agizo hilo leo, Agosti 13, 2026, wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji katika Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa RUWASA wa kutembelea miradi mikubwa na yenye changamoto ili kubaini vikwazo na kushirikiana na Watekelezaji katika kuvipatia ufumbuzi.
Amesema ziara hiyo imeanza na mradi mkubwa wa maji kutoka Kahama hadi Ushetu, ambapo amekagua hali ya utekelezaji na kufanya makubaliano na Mkandarasi kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuongeza kasi ya kazi na kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi.
Amesema katika mwaka wa fedha 2026/2027, RUWASA imeweka mkazo katika kukamilisha miradi inayoendelea ili wananchi waanze kunufaika na huduma ya maji mapema, badala ya kusubiri mradi mzima ukamilike ndipo huduma ianze kutolewa.
“Tunatamani miradi ukiwemo huu wa maji ya Ziwa Victoria kutoka Manispaa ya Kahama kwenda Ushetu ianze kujengwa, itembee na maji. Moja ya malengo ya RUWASA kwa bajeti tuliyopanga ni kukamilisha miradi inayoendelea,” amesema Mhandisi Kirita.

Amesema falsafa ya “kutembea na maji” inalenga kuhakikisha utekelezaji wa miradi unaenda sambamba na upatikanaji wa huduma, kuanzia kwenye chanzo cha maji hadi miundombinu inayokamilika, ili wananchi waanze kunufaika na huduma mapema.
Mhandisi Kirita amesema utekelezaji wa dhana hiyo utasaidia kuharakisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi, huku miundombinu inayokamilika ikianza kutumika na kulindwa mapema.
Ameongeza kuwa hatua hiyo pia itawapa matumaini wananchi wa maeneo ambayo bado hayajafikiwa na huduma ya maji, kwa kuona maeneo jirani yakianza kunufaika na miradi hiyo.
“Tunaanza kwenye chanzo, tunakwenda na maji. Hilo ndiyo lengo kubwa ninalosisitiza kwenye ziara hii,” amesema.
Aidha, amewataka Wakandarasi wanaopewa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kuhakikisha wanatekeleza kazi kwa mujibu wa programu na masharti ya mikataba, akisisitiza kuwa maji hayana mbadala na wananchi wanapaswa kuona matokeo ya uwekezaji unaofanywa na Serikali.
Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, amemtaka Mkandarasi wa mradi huo kuongeza kasi ya utekelezaji ili wananchi waanze kupata huduma ya maji kwa wakati.
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani.
Cherehani amesema kwa mujibu wa mkataba wa miezi 24, muda uliobaki ni takribani miezi minne, hivyo amemtaka Mkandarasi kuongeza kasi na kuhakikisha mradi unakamilika kwa kuzingatia masharti ya mkataba.
Amesema Serikali tayari imetoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo, hivyo wananchi wanapaswa kuanza kuona matokeo ya uwekezaji huo, akipendekeza huduma ianze kutolewa katika maeneo ambayo miundombinu yake tayari imekamilika.
“Naomba tuanze walau na Kata ya Igunda ipate huduma ili kuwapa matumaini wananchi,” amesema Cherehani.
Mbunge huyo pia amemtaka Mkandarasi mzawa anayetekeleza mradi huo kuheshimu masharti ya mkataba na kuacha visingizio vinavyoweza kuchelewesha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
Naye Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda, amesema kuchelewa kwa Mkandarasi kukamilisha mradi kunaweza kuathiri uhusiano kati ya Serikali na wananchi, kwa kuwa wananchi wanaitegemea Serikali katika kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda.
Nkinda amemtaka Mkandarasi kuhakikisha anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa mkataba, akibainisha kuwa Serikali tayari imetoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo.
“Kitendo cha Mkandarasi kuchelewa kukamilisha mradi ni kuchonganisha Serikali na wananchi. Serikali imetoa fedha, tunataka kuona maji yanatoka,” amesema Nkinda.
Kwa upande wake, Meneja Mradi kutoka RUWASA, John Msengi, amesema mradi huo unahusisha kuendeleza ujenzi wa miundombinu ya maji kutoka Manispaa ya Kahama kuelekea Halmashauri ya Ushetu, kupitia kata za Igunda, Mpunze, Ukune, Kisuke, Kinamapula, Nyamilangano, Mapamba, Uyogo, Bukomela, Ushetu na Ulowa.
Amesema mradi huo unatekelezwa na SIHOTECH Engineering Company Limited kwa kushirikiana na Mponela Construction and Company Limited, kwa gharama ya Shilingi 37,518,548,032.35, huku kazi zilizofanyika hadi sasa zikihusisha ununuzi na ulazaji wa mabomba ya chuma yenye urefu wa kilomita 38.382 na mabomba ya HDPE yenye urefu wa kilomita 66.866, pamoja na ujenzi wa vituo vya kusukuma maji, matanki na miundombinu ya kusambaza maji kwa wananchi.
Msengi amesema kuwa utekelezaji wa mradi huo kwa ujumla umefikia asilimia 36, huku mkataba ukiwa wa miezi 24 na ikiwa imebaki takribani miezi minne kufikia muda wa kukamilika.
Amesema RUWASA inaendelea kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa mradi huo ili kuhakikisha kazi zinaongezwa kasi na kukamilika kwa wakati, kwa lengo la kuwawezesha wananchi wa Ushetu na maeneo mengine yanayohudumiwa na mradi huo kupata huduma ya maji safi na salama.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji katika Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Agosti 13, 2026.

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akiwa katika moja ya matanki ya maji wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa mradi wa maji katika Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, Agosti 13, 2026.

Muonekano wa moja ya matanki ya maji katika Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akiwa ameambatana na wataalamu mbalimbali katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Agosti 13, 2026.

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza wakati wa ziara katika Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Agosti 13, 2026.

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Agosti 13, 2026.

Msimamizi wa Mradi akieleza kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji Kahama–Ushetu, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza wakati wa ziara katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Agosti 13, 2026.

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akipata maelezo kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji katika Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu, Agosti 13, 2026.

EmoticonEmoticon